“Strength does not come from winning. Your struggles develop your strengths. When you go through hardships and decide not to surrender, that is strength.”

Read More

Movies Mpya

Pata habari ya Movies na Series mpya hapa
Read More

SIFA ZA JEHOVA

Pata dondoo za sifa za Jehova hapa
Read More

SIMULIZI

Simulizi kali na zakusisimua
Read More

MAFUNDISHO

Jifunze neno la Mungu hapa

Friday, March 24, 2017

Worship International



THE DISCIPLES NI KUNDI LA VIJANA WALIOJITOA
KWAAJILI YA BWANA,
WAMEFANIKISHA KURECORD
ALBUM YAO YA KWANZA YENYE NYIMBO
NNZURI ZA KUMSIFU MUNGU.
HAKIKISHA UNAPATA ,NAKALA YAKO.

MASAWASILIANO - +255 713 208 524
                                     +255 713 315 885

Read More

KWAYA ZETU



HII NI KWAYA YA  VIJANA K.K.K.T KIJICHI
NI KWAYA YENYE NGUVU NA
UPAKO,
 KWAYA HII IMEKWISHA ZINDUA
ALBUM YAO IITWAYO
"MTETEZI WANGU YU HAI"

WAPO TAYARI KWAAJILI YA MIALIKO
MBALIMBALI ,NDANI YA NCHI NA
NJE YA NCHI.

MAWASILIANO -  +255717344077
                                   +255659759278

Read More

Pastor Mwambona FT Ashley Nassry - Mwamba (lyrics)

Read More

Monday, March 13, 2017

UTAMBULISHO WA NYIMBO




Ilikuwa ni Baraka sana, nilipo iweka masikioni
mwa watu , nyimbo inaitwa
"MWAMBA"
Mungu azidi kukubariki kila unapopata nafasi
yakusikiliza.
@cloudsfm #GospelTracks

Read More

Wednesday, March 8, 2017

Pastor Release Gospel track single


History will be made in clouds fm 88.5 Dar es Salaam,
Audio release from Pastor Mwambona
song called "MWAMBA"
@GospelTracks  @Harris Kapiga


Read More

News

Sikiliza sasa nyimbo yangu
kupitia YouTube
Bonyeza iyo #link hapo chini

Andiko lilitimizwa
ndani ya #cloudsfm leo kubwa
nilitambulisha nyimbo
nikiwa na watu wakubwa sana
@Pastorharriskapiga @pmasele @yonamsigwa
ndani ya #GospelTracks

History will be made in clouds fm 88.5 Dar es Salaam,
Audio release from Pastor Mwambona
song called "MWAMBA"
@GospelTracks  @Harris Kapiga



Weekend hii Tim Heaven inakuletea "THE INTERVIEW" na mgeni wetu ni "Amani Charles".
Amani Charles ni kijana wa kitanzania,Mwimbaji, tunzi, Mpiga Kinanda, Mwalimu wa kwaya mbalimbali n.k usikose kutazama "THE INTERVIEW" weekend hii hapa hapa http://timheaven.blogspot.com
Naamini utajifunza na kujua mengi kutoka kwa Amani Charles. #KwaPamojaTunaweza
Read More

Social Profiles

Twitter Facebook Google Plus LinkedIn RSS Feed Email Pinterest

Follow Me

Follow Us

Popular Posts

Be The fan Of Trackers

Categories

“Strength does not come from winning. Your struggles develop your strengths. When you go through hardships and decide not to surrender, that is strength.”

Powered by Blogger.

Label Cloud

AFTERLIFE

Living in true world
God first
I seek God in life for After life

Blogroll

Blogger templates

About

Copyright © AFTERLIFE | Powered by Blogger
Design by Lizard Themes | Blogger Theme by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com