Sikiliza sasa nyimbo yangu
kupitia YouTube
Bonyeza iyo #link hapo chini
Andiko lilitimizwa
ndani ya #cloudsfm leo kubwa
nilitambulisha nyimbo
nikiwa na watu wakubwa sana
@Pastorharriskapiga @pmasele @yonamsigwa
ndani ya #GospelTracks
History will be made in clouds fm 88.5 Dar es Salaam,
Audio release from Pastor Mwambona
song called "MWAMBA"
@GospelTracks @Harris Kapiga
Weekend hii Tim Heaven inakuletea "THE INTERVIEW" na mgeni wetu ni "Amani Charles".
Amani Charles ni kijana wa kitanzania,Mwimbaji, tunzi, Mpiga Kinanda, Mwalimu wa kwaya mbalimbali n.k usikose kutazama "THE INTERVIEW" weekend hii hapa hapa http://timheaven.blogspot.com
Naamini utajifunza na kujua mengi kutoka kwa Amani Charles. #KwaPamojaTunaweza